Published On:Ijumaa, 3 Oktoba 2014
Posted by Hisia
KILIMANJARO PREMIUM LAGER YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI KUZUNGUMZIA KAMPENI YA “NANI MTANI JEMBE 2”
Meneja wa
Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akizungumza na
baadhi ya wahariri wa vyombo habari jijini Dar es Salaam mchana wa
leo,wakati wa semina ya kuzungumzia uzinduzi wa Kampeni ya Nani Mtani
Jembe sehemu ya 2,utakaofanyika kesho tarehe 4 Oktoba 2014 katika
viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar es salaam.
Afisa
Uhusiano wa Kampuni ya Executive Solutions ambao ndio wanaoratibu
Kampeni hiyo ya Nani Mtani Jembe 2,Ibrahim Kyaruzi akizungumza jambo
kwenye mkutano huo.
baadhi ya wahariri wa vyombo habari jijini Dar es Salaam wakifatilia kwa makini semina hiyo.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akielezea namna Kampeni hiyo itakavyokuwa ikifanyika.