Published On:Jumapili, 28 Septemba 2014
Posted by Hisia
Azam, Mtibwa zakabana koo
Timu ya Azam imepaa kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom
Tanzania Bara baada ya kuicharaza Ruvu Shooting magoli 2-0 na
kujikusanyia pointi 6 sawa na Mtibwa Sugar.
Azam na Mtibwa Sugar zinalingana pointi, idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa hivyo kuifanya Azam kuongoza msimamo kwa kuzingatia alfabeti kwa herufi za kwanza.
Mabao yote mawili ya Azam katika mchezo huo yalifungwa na mshambuliaji wake kutoka Burundi, Didier Kavumbagu akiyafunga katika dakika ya 40 na 50.
Matokeo ya mechi za Jumamosi
Simba 1-1 Polisi Morogoro ( Emmanuel Okwi 33′ | Dan Mrwanda 50′ )
Mbeya City 1-0 Coastal Union (Deogratius Julius Kaseke 40′)
Azam 2-0 Ruvu Shooting ( Didier Kavumbagu 40′, 50′)
Mgambo 0-1 Stand United ( Musa Said 13′)
Mtibwa Sugar 3-1 Ndanda ( Ame Ally 36′, Ally Shomari 42′ na 74′| Idd Kulachi 64′) height=”522″