Klabu
ya Liverpool imepewa ruhusa ya kuanza ujenzi wa kupanua uwanja wao
ilikufikia uwezo wa kuwa na watu 59,000 kutoka watu 45500 ukiwa ni
mpango wa kutumia pauni milioni 100. Viti vitakavyoongezwa uwanjani
ni 8,300. Mabadiliko mengine ni kuwa kumbukumbu ya mashabiki 96
waliofariki mwaka 1989 kwenye maafa ya Hillsborough itasogezwa pia.
Anfield
imekuwa ikisimamia kwenye watu 45,362, tofauti na viwanja vikubwa kama
Old Trafford na Emirates Stadium, ila baada ya marekebisho uwanja mpya
utawza kupokea watu 59,000 kitu kitakacho fanya uwe na namba 3 kwa
ukubwa kwenye viwanja vya Premier League ukiwa umepitwa kidogo na uwanja
wa Arsenal.Mabadiliko haya yataonekana kwa mara ya kwanza mwanzo wa
mwaka 2016 au kwenye msimu wa ligi wa mwaka 2017.
About the Author
Posted by Hisia
on 9/23/2014 08:22:00 PM. Filed under
Uingereza
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0.
Feel free to leave a response
By Hisia
on 9/23/2014 08:22:00 PM. Filed under
Uingereza
.
Follow any responses to the RSS 2.0. Leave a response