Headlines
Published On:Jumatatu, 22 Septemba 2014
Posted by Hisia

MASHINDANO YA NGUMI YA KUMI BORA YAENDELEA KUSHIKA KASI

Bondia Saleh Said wa Magereza 'kulia' akioneshana umwamba na Sudi Mohamed wa Mavituzi wakati wa mpambano wa kumi bora yanayoendelea kila jumamosi katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar es salaam Said alishinda mpambano huo Picha na SUPER D BLOG
Bondia Iddi Juma wa Midizini akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Jumanne Mashombo wa Ndame wakati wa mpambano wa kumi bora uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Manyara Park Mahombo alishinda kwa point
Bondia Julius Kisalawe kushoto akimwelekeza jinsi ya kupiga ngumi wakati wa mapumziko bondia Jumanne Mashombo wa ndame.
Bondia Iddi Juma wa Midizini akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Jumanne Mashombo wa Ndame wakati wa mpambano wa kumi bora uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Manyara Park Mahombo alishinda kwa point 
SUPER D BLOG
Bondia Muhsin Hashim kustoto kutoka ndame akipambana na James Edmond wakati wa mashindano ya kumi bora yaliyofanyika katika ukumbi wa manyara park Edmondi alishinda mpambano huo
Bondia Justin Alyce kushoto akipambana na Stevin Anastazia
Mkuu wa majaji Remy Ngabo akiakikisha matokeo
Bondia Ibrahimu Bakari wa Urafiki akipambana na Maulid Athumani wa JKT wakati wa mashindani ya kumi bora kwa kila uzito katika mkowa wa dar es salaam picha na SUPER D BLOG
Bondia Shabani Mohamed kushoto akipambana na Undele Langson wakati wa mashindano ya kumi bora katika kila uzito yanayo endeshwa kila wiki na chama cha ngumi za ridhaa mkoa wa Dar es Salaam DABA .Langson alishinda kwa point picha na  SUPER D BLOG
Bondia Saleh Said wa Magereza 'kulia' akioneshana umwamba na Sudi Mohamed wa Mavituzi wakati wa mpambano wa kumi bora yanayoendelea kila jumamosi katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar es salaam Said alishinda mpambano huo Picha na SUPER D BLOG 

About the Author

Posted by Hisia on 9/22/2014 09:35:00 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

By Hisia on 9/22/2014 09:35:00 AM. Filed under . Follow any responses to the RSS 2.0. Leave a response

0 comments for "MASHINDANO YA NGUMI YA KUMI BORA YAENDELEA KUSHIKA KASI"

Leave a reply

    Blog Archive