Published On:Jumapili, 14 Septemba 2014
Posted by Hisia
Young Dar Afrika Waifanyia Unyama Azam Ngao ya Jamii, Waipiga Goli 3 Bila Majibu
Mchezo wa Ufunguzi wa Ligi kuu Tanzania Bara Maarufu kama Ngao ya Jamii Uliomalizika Hivi punde, Yanga wameibuka kidedea kwa kuibanjua Azam Goli 3 bila majibe Wafungaji wakiwa Santana Jaja dakika ya 58 na 66 na goli la tatu limefungwa na Msuva 88
![]() |
Afisa habari wa Yanga sc, Baraka Kizuguto (wa kwanza kushoto) Jaja (katikati) na Mbuyu Twite (kulia)baada ya kushinda 3-0 dhidi ya Azam fc jioni ya leo |