 |
Bondia
Said Yazidu wa Tanzania (aliyenyanyua mikono) na kulia kwake ni bondia
Alibaba Ramadhan wakiajiandaa na zoezi la upimaji uzito. |
 |
Bondia
,Dahou wa Aljeria akiwa na baba yake mzazi (kulia) ambaye ndiye kocha
wake pamoja na mjomba wake (shoto) kwake wakiwa wameshikilia mikanda ya
Ubingwa anaoshikilia bondia huyo. |
 |
Promota Andrew George "Tyson"akionesha mkanda utakao gombaniwa kati ya Said Yazidu(Tanzania) na Djamel Dahou(Aljeria). |
 |
Bondia Alibaba Ramadhan akisalimia mashabiki wake. |
 |
Promota,Andrew George akitambulisha Bondia Alibaba Ramadhan(kulia) na Aleck Mwenda kutoka nchini Malawi(shoto) |
 |
Promota,Andrew George akitambulisha Bondia Said Yazidu(Tanzania) na Djamel Dahou toka Aljeria |
 |
Ni kama wanawaza"Takukarisha kwa KO wewe" |
 |
Bondia Aleck Mwenda(Malawi) akipima uzito. |
 |
Bondia Alibaba Ramadhan akipima uzito. |
 |
Promota akitambulisha mabondia. |
 |
"Utakaa mapema sana" |
 |
Bondia ,Djamel Dahou akipima uzito. |
 |
Bondia Said Yazidu akipima uzito. |
 |
"Mabondia ndio hawa hapa" |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini
About the Author
Posted by Hisia
on 9/12/2014 03:48:00 PM. Filed under
Boxing
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0.
Feel free to leave a response
By Hisia
on 9/12/2014 03:48:00 PM. Filed under
Boxing
.
Follow any responses to the RSS 2.0. Leave a response