Headlines
Published On:Alhamisi, 11 Septemba 2014
Posted by Hisia

DIEGO COSTA KASHAZIGUSA MARA NNE, ATARITHI MIKOBA YA LUIS SUAREZ?

MPAKA sasa  jumla ya mabao 79 yamefungwa katika mechi za ligi kuu soka nchini England.

Msimu uliopita, Luis Suarez aliyeichezea Liverpool alitwaa tuzo ya mfungaji bora akitia kambani mabao 31.

Msimu huu nyota huyo hayupo England baada ya kujiunga na FC Barcelona mapema majira ya kiangazi mwaka huu kwa dau la paundi milioni 75.

Lakini kuna wakali wengine wapo akiwemo mshambuliaji tegemeo wa Chelsea, Diego Costa ambaye mpaka sasa anaongoza katika orodha ya wafungaji akiwa tayari alishagusa nyavu za wapinzani mara nne.

Kwa mujibu wa mtandao wa Supersport.com, Costa anafuatiwa na Nathan Dyer wa Swansea City mwenye miaka 3. Katika nafasi ya tatu yupo Steven Naismith wa Everton akiwa na mabao 3. Nafasi ya nne yupo Aaron Ramsey wa Arsenal akiwa na mabao 2, sawa na Andreas Weimann wa Aston Villa katika nafasi ya tano.

ORODHA WA WAFUNGAJI WA LIGI KUU SOKA NCHINI ENGLAND MPAKA SASA
PlayerTeamGoals
Diego Da Silva CostaChelsea4
Nathan DyerSwansea City3
Steven NaismithEverton3
Aaron RamseyArsenal2
Andreas WeimannAston Villa2
Branislav IvanovicChelsea2
Eric DierTottenham Hotspur2
Leonardo UlloaLeicester City2
Morgan SchneiderlinSouthampton2
Nacer ChadliTottenham Hotspur2
Nikica JelavicHull City2
Raheem SterlingLiverpool2
Saido BerahinoWest Bromwich Albion2
Sergio AgüeroManchester City2
Stevan JoveticManchester City2
Aiden McGeadyEverton1
Alberto MorenoLiverpool1
Alexis SánchezArsenal1
André SchürrleChelsea1
Brede HangelandCrystal Palace1
Carlton ColeWest Ham United1
Charlie AustinQueens Park Rangers1
Chris WoodLeicester City1
Daniel SturridgeLiverpool1
Daryl JanmaatNewcastle United1
Total
79

About the Author

Posted by Hisia on 9/11/2014 01:36:00 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

By Hisia on 9/11/2014 01:36:00 PM. Filed under . Follow any responses to the RSS 2.0. Leave a response

0 comments for "DIEGO COSTA KASHAZIGUSA MARA NNE, ATARITHI MIKOBA YA LUIS SUAREZ?"

Leave a reply

    Blog Archive