Headlines
Published On:Jumamosi, 13 Septemba 2014
Posted by Hisia

NHIF YATETA NA WACHEZAJI, WATENDAJI KLABU YA YANGA

Katibu Mkuu wa Yanga Bw. Beno Njovu akizindua semina ya Mfuko wa Bima ya Afya na Watendaji na wachezaji wa Klabu ya Yanga  iliyofanyika jana makao makuu ya klabu hiyo mtaa Jangwani katikati ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na kushoto ni Christopher Mapunda Meneja wa NHIF Wilaya ya Ilala klabu ya Yanga imekuwa ya kwanza kuanza utaratibu wa kuijunga na mfuko wa Bima ya afya. 8Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akizu.ngumza na watendaji wa Yanga na wachezaji wakati wa semina hiyo jana 9Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akizu.ngumza na watendaji wa Yanga na wachezaji wakati wa semina hiyo jana 10 
Mmoja wa maofisa wa Mfuko wa Bima ya Afya akiwaonyesha makocha wa Yanga baadhi ya picha alizpoiga  nao Kulia ni kocha wa yanga Marcio Maximo. 11Christopher Mapunda Meneja wa NHIF Wilaya ya Ilala akitoa mada wakati wa semina na wachezaji wa timu ya Yanga jana. 12 
Baadhi ya wachezaji na maofisa pamoja na wanachama wa Yanga wakiwa katika semina hiyo. 13 
Baadhi ya wanachama wa Yanga wakiwa katika semina hiyo kushoto ni mwanachama wa Yanga Bw Said Hassan Kipara 14 
Katibu Mkuu wa Yanga Bw. Beno Njovu akizungumza katikasemina hiyo kulia niHance John Mwankenja Afisa Matekelezo wa NHIF  15 
Mmoja wa maofisa akigawa majarida yanayoelezea faida za Mfuko wa Bima ya Afya ya jamii katika semina hiyo  17 
Ofisa   Mawasiliano mwandamizi  NHIF  Bw. Luhende Andrew Singu akizungumza na wachezaji hao jana wakati wa semina hiyo

About the Author

Posted by Hisia on 9/13/2014 01:20:00 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

By Hisia on 9/13/2014 01:20:00 PM. Filed under . Follow any responses to the RSS 2.0. Leave a response

0 comments for "NHIF YATETA NA WACHEZAJI, WATENDAJI KLABU YA YANGA"

Leave a reply

    Blog Archive