Published On:Jumatano, 10 Septemba 2014
Posted by Hisia
Vodacom yamwaga vifaa vya timu 14 za ligi kuu - Picha
Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim,akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kukabidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom. kushoto ni Meneja biashara wa TFF Peter Simon na kulia ni Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga.Timu 14 zimekabidhiwa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 430
Kutoka kushoto: Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim, Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya ligi Silas Mwakibinga,Mwakilishi wa klabu ya Azam FC Phillip Alanzo na Mjumbe wa TFF Geoffrey Nyange wakionesha jezi za Azam FC walizokabidhiwa na mdhamini wa Ligi Kuu ya Vodacom kampuni ya Vodacom kwa ajili ya msimu wa 2014/2015
Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim(kushoto)
akimkabidhi jezi Mwakilishi wa JKT Ruvu akishuhudiwa na Afisa Mtendaji
Mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga(katikati) wakati wa hafla ya
kukabidhi vifaa vya michezo kwa timu 14 zinazoshiriki Ligi Kuu ya
Vodacom
Kutoka kushoto: Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum
Mwalim, Afisa Mtendaji Mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga,Mwakilishi
wa timu ya Kagera Sugar na Mjumbe wa TFF Geoffrey Nyange wakionesha
jezi
ilziokabidhiwa timu ya Kagera kwa na kampuni ya Vodacom kwa ajili ya msimu wa 2014/2015
ilziokabidhiwa timu ya Kagera kwa na kampuni ya Vodacom kwa ajili ya msimu wa 2014/2015
Mwakilishi wa timuu ya Mbeya City akipokea kutoka kwa Meneja
Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim(kushoto) jezi
zitakazotumiwa na timu hiyo katika msimu wa 2014/2015 wa ligi kuu ya
Vodacom. Wa pili toka kusho ni Afisa Mtendaji Mkuu wa bodi ya ligi
Silas Mwakibinga na kulia ni Mjumbe wa TFF Geoffrey Nyange
Mwakilishi wa Timu ya Simba akipokea kutoka kwa Meneja Uhusiano
wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim(kushoto) jezi zitakazotumiwa na
timu hiyo katika msimu huu mpya utakaoanza hivi karibuni. pili toka
kusho ni Afisa mtendaji Mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga na kulia
ni Mjumbe wa TFF na Makamu Mwenyekiti wa Simba Geoffrey Nyange
Kutoka kushoto Meneja Biashara wa TFF Peter Simon, Meneja
Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim, Afisa Mtendaji Mkuu wa
bodi ya ligi Silas Mwakibinga na Mjumbe wa TFF Geoffrey Nyange
wakifurahia jambo pamoja na Afisa habari wa Yanga Baraka Kizuguto wanne
toka kushoto wakati wa hafla ya Vodacom kukabidhi vifaa kwa timu 14
zitakazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom
Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim, Afisa
Mtendaji Mkuu wa bodi ya Ligi Silas Mwakibinga na kulia ni Mjumbe wa TFF
Geoffrey Nyange wakifurahia jambo pamoja na Afisa habari wa Yanga
Baraka
Kizuguto wane toka kushoto
Kizuguto wane toka kushoto
Afisa Mtendaji Mkuu wa bodi ya ligi Silas
Mwakibinga(katikati)akipokea vifaa vipya toka kwa Meneja Uhusiano wa Nje
wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim, vitakavyotumiwa na waamuzi katika
mechi mbalimbali za Ligi kuu ya
Vodacom Tanzania bara zitakazoanza hivi karibuni
Vodacom Tanzania bara zitakazoanza hivi karibuni